Serikali kupitia Wizara ya Afya imewajengea uelewa kuhusu Bima ya Afya kwa wote viongozi wa makundi ya Wamachinga, Wakulima, Wavuvi, Wachimba Madini, Bodaboda, Mama Lishe na Kamati ya ... Read More
Habari
Kiafya inashauriwa meno ya utotoni yanapofikia muda wa kung’oka yasitikiswe, ili kuepuka madhara mbalimbali ikiwemo kuathiri mishipa ya fahamu ya mtoto. Kimsingi jino la utotoni ambal... Read More
Katibu Tawala Msaidizi sehemu ya Rasilimali Bw. Daniel Machunda amejumuika na uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou toure katika siku ya Sekou toure na kuwafariji mama mjamzi... Read More
Kamati ya bunge inayoshugulikia Ukimwi, Kifua kikuu na Madawa ya Kulevya kwa kushirikiana na Shirika la ICAP wametembelea hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure na kufanya zi... Read More
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekou Toure imefanya kambi ya madaktari bingwa iiliyodumu kwa siku tano kuanzia tarehe 05 hadi 09 mwezi desemba 2022 katika viwanja vya hospitali. Huduma... Read More
Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara ya Afya Prof. Paschal Ruggajo ametembelea hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza Sekoutoure na kukagua huduma za tiba na miundombinu mbalimbali hospitalini hap... Read More
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wameshiriki mafunzo ya kidijitali ya mfumo wa MEMIS uliyofanyika kwa siku mbili na kuratibiwa na timu ya TEHAMA kutoka Wizara ya ... Read More
Katika kuhakikisha kusaidiaa waginjwa wenye upungufu wa damu Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imeendelea na zoezi la ukusanyaji damu katika sehemu mbalim... Read More
Hospiitali ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imeanza kutoa huduma ya vipimo vya uchunguzi wa mfumo wa chakula, hivyo wananchi wote wenye matatizo yanayo husiana na mfumo wa chakula wanakaribishwa... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Adam Malima amewaalika wananchi waishio Mkoani humo na jirani kuitikia wito wa kupata vipimo vya magonjwa mbalimbali kwenye viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mko... Read More