Kitengo cha Tiba na Matunzo ya Ukimwi
Kitengo cha tiba na matunzo ya Ukimwi
- Nasihi kabla na baada ya upimaji
- Elimu ya afya juu ya VVU, uzazi wa mpango, saratani ya shingo ya kizazi na Kifua kikuu
- Uanzishwaji wa dawa na unywaji wa dawa
- Utambuzi na tiba ya magonjwa nyemelezi