HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MWANZA IMEENDELEA NA ZOEZI LA UKUSANYAJI DAMU

Posted on: October 31st, 2022



Katika kuhakikisha kusaidiaa waginjwa wenye upungufu wa damu Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imeendelea na zoezi la ukusanyaji damu katika sehemu mbalimbali kwa lengo la kusaidia wagonjwa wenye upungufu wa danu.

Timu ya damu salama imetoa wito kwa wananchi kuendelea kujitokeza na kujitolea damu ili kuwasaidia wagonjwa wenye changamoto ya upungufu wa damu