HUDUMA YA VIPIMO VYA UCHUNGUZI WA MFUMO WA CHAKULA (ENDOSCOPY)
Posted on: December 11th, 2022Hospiitali ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure imeanza kutoa huduma ya vipimo vya uchunguzi wa mfumo wa chakula, hivyo wananchi wote wenye matatizo yanayo husiana na mfumo wa chakula wanakaribishwa kwa uchunguzi zaidi.