Huduma ya Uraibu wa Madawa ya Kulevya

Posted on: December 22nd, 2024

.-Kutoa elimu kwa waathirika wa Dawa za kulevya

-Uchunguzi wa Magonjwa mbalimbali kama Homa ya ini, kifua Kikuu na Virusi vya Ukimwi

-Kutoa dawa ya "Methadone"

-Kutoa Ushauri Nasaha kwa Waathirika wa dawa za kulevya.