Huduma ya tiba na matunzo ya Ukimwi (CTC)

Posted on: December 22nd, 2024
  • Nasihi kabla na baada ya upimaji
  • Elimu ya afya juu ya VVU, uzazi wa mpango, saratani ya shingo ya kizazi na Kifua kikuu
  • Uanzishwaji wa dawa na unywaji wa dawa
  • Utambuzi na tiba ya magonjwa nyemelezi