Habari njema, Upasuaji wa wenye Matatizo ya kuungua Moto na Midomo sungura unafanyika Hospitali ya Mkoa wa Mwanza na Madaktari bingwa Toka nchini Australia.
Posted on: September 22nd, 2019Zoezi la kusajili wakazi wa kanda ya ziwa wenye matatizo yakuungua moto na Midomo sungura likiendelea ndani ya hospitali ya mkoa wa Mwanza sekou-Toure ili waweze kufanyiwa upasuaji na Madaktari toka nchini Australia kila mwaka mwezi wa 10